BAADA ya kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo, ameelezea ...
Ni sahihi kusema hakuna unyonge! Simba imemaliza uteja wa kupoteza michezo mitano dhidi ya Yanga baada ya kulazimisha suluhu kwenye mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo uliopigwa kwenye Uwanja ...
Miamba wa soka na watani wa jadi katika ligi kuu ya soka Tanzania bara, Yanga na Simba, walitoka sare ya 0-0 katika mechi ya ligi kuu iliyochezwa mwishoni wa wiki iliyopita, Machi tarehe 1, ...
Mashabiki wa Simba wameanza kujinasibu kuwa safari hii ni ya kufuta uteja, wakikumbushia maumivu ya kupoteza michezo sita mfululizo dhidi ya watani wao wa jadi na mashabiki wa Yanga nao wanaonekana ku ...
Simba 4-5 Sevilla: Licha ya kushindwa mabingwa hao wa Tanzania walionyesha mchezo wa kiwango cha juu
Mabingwa wa soka Tanzania, Simba almanusura iandike Historia kwa kuitandika Sevilla ya Hispania iliyosheheni nyota wake kibao. Katika mchezo wa kirafiki uliovuta hisia za mashabiki wengi Afrika ...
Ushindi wa bao 1-0 ambao Simba iliupata katika Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Al Ahly, Jumatano hii, ni wazi kwamba umeiweka klabu hiyo katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Alikuwa kipa tegemeo kwa kipindi chake cha uchezaji kiasi cha kuitwa Tanzania One, huyu ndiyo kipa aliyeifikisha Simba fainali ya CAF, mwaka 1993 na kufungwa na Stella Atowar katika mchezo wa ...
Rwanda imewarudisha simba katika mbuga yake ya Kitaifa ya Akagera kutoka nchini Afrika Kusini baada ya Simba wa mwisho kuonekana katika mbuga hiyo mwaka 2006. Rwanda pia ina mipango ya kuongeza faru ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results